Kisarudu

Kisarudu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasarudu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisarudu imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisarudu iko katika kundi la Kicelebiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search